Timu ya wanafunzi ya shule ya sekondari baloha imeonja Joto ya jiwe baada ya kupewa kichapo cha goli tano(5) kwa moja kutoka kwa timu ya shule ya Bulige mchezo ambao ulikua wa kirafiki uliotawalia na sintofahamu kibao nao kina Dada wa Baloha sekondari wakatoa upinzani mkali katika netball japo mchezo huo haukufika mwisho kutokana na vurugu Za wanakijiji uwanjani hapo japo Baloha sekondari ilionekana kuwajuu katika michezo yote lakini bahati haikua yao. Hata hivyo Baloha sekondari ilitoka na ushindi katika Volleyball mpira wa wavu napia iliwatoa mbio ktk academic issue ambalo ndio suala la msingi ktk smile. Chini ni baadhi ya picha za mchezo huo.
No comments:
Post a Comment