Baada ya timu ya New vision FC kupoteza mchezo wao wa kwanza dhidi ya kahama Rangers FC timu hiyo imejipanga kuhakikisha itakwenda kupambana vikali katika mchezo wao wa pili.Hata hivyo kocha mkuu wa timu hiyo Clisher yoramu alimaarufu kwa jina la mzee wa arsenal alikisifu kikosi chake jinsi kilivyo cheza katika mechi yake ya kwanza na kusema kikosi chake anakiamini kipo vizuri hivyo kufungwa ni sehemu ya matokeo matatu katika mchezo wa mpira na kusisitiza kuendelea na mazoezi na kua na umoja
Picha ya juu ni kikosi cha New vision FC kilichokua kimeanza
Na picha hii ya chini ni baadhi ya wachezaji wa akiba wa New vision FC na picha ya mwisho kabisa ni baadhi ya wachezaji wakipewa mawili matatu na viongozi wa time.
No comments:
Post a Comment