Wadau wakiwa katika pilika pilika za hapa na pale za kufunga msimu wa timu yao ya NEW VISION FC, Ni asubuhi flani hivi katika viwanja vya shule ya msingi CHELA KAHAMA.
Maraa paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Saturday, 2 December 2017
##NEW VISION FC YAFANYA KIKAO CHAKE CHA MWAKA 02.12.2017.##
Ni mwaka mwingine tena timu ya NEW VISION FC inafanya kikao chake cha kufunga msimu wa mwaka wa 2017,Mambo mengi yamejadiliwa katika kikao hicho na kubwa zaizi ni kusisitiza juu ya wachezaji kuwa commiteement na timu yao lakini kubwa zaidi wamejadili mapungufu ya vifaaa vya michezo mfano wa vifaa hivyo ni sox, mipira ,wavu wa golini, na kutoa michango kwa wakati ili kuiendeleza timu katika leval za hali ya juu;
Hata hivyo capten alijaribu kuongelea mapungufu hayo kwa kutaja bei za kila kimojakimoja na kuuweka mjadala huu hewani kwa wadau waweze kujadili ni mapungufu yapi yanatakiwa kutatuliwa haraka vitu hivyo ni 1.BEGI,
2. DAWA ZA TIMU,
3.PUMPU NA
4. GLOVES ZA GOOLKEEPER.
BAADA ya majadiliano yaliochukua takribani nusu saa wadau waliomba kutoa mchango ili kuweza kuchangia vifaa hivyoo.
Wadau wakielekea kupata chakula baada ya kikao chao cha kufunga msimu wa timu yao ##NEW VISION FC FOREVER##
Hata hivyo capten alijaribu kuongelea mapungufu hayo kwa kutaja bei za kila kimojakimoja na kuuweka mjadala huu hewani kwa wadau waweze kujadili ni mapungufu yapi yanatakiwa kutatuliwa haraka vitu hivyo ni 1.BEGI,
2. DAWA ZA TIMU,
3.PUMPU NA
4. GLOVES ZA GOOLKEEPER.
BAADA ya majadiliano yaliochukua takribani nusu saa wadau waliomba kutoa mchango ili kuweza kuchangia vifaa hivyoo.
Wadau wakielekea kupata chakula baada ya kikao chao cha kufunga msimu wa timu yao ##NEW VISION FC FOREVER##
Sunday, 26 November 2017
NGOMA MPYAA YA K2S ###### TIRED COUNTRY##### NOW IPO KWA HEWAA.
MSIMU WA SHAMBA NDIO HUOOOO.
Kwa wale wakulima sasa kazi imeanzaa kwani mvua zimeanza kunyesha na hali ni nzuri kimsingi , tukazane kulima ili tujikwamue na hali ngumu ya kiuchumi maana vyuma vimeendelea kukazaa tuuu.
Friday, 12 May 2017
BALOHA SEKONDARI yaonja joto ya jiwe.
Timu ya wanafunzi ya shule ya sekondari baloha imeonja Joto ya jiwe baada ya kupewa kichapo cha goli tano(5) kwa moja kutoka kwa timu ya shule ya Bulige mchezo ambao ulikua wa kirafiki uliotawalia na sintofahamu kibao nao kina Dada wa Baloha sekondari wakatoa upinzani mkali katika netball japo mchezo huo haukufika mwisho kutokana na vurugu Za wanakijiji uwanjani hapo japo Baloha sekondari ilionekana kuwajuu katika michezo yote lakini bahati haikua yao. Hata hivyo Baloha sekondari ilitoka na ushindi katika Volleyball mpira wa wavu napia iliwatoa mbio ktk academic issue ambalo ndio suala la msingi ktk smile. Chini ni baadhi ya picha za mchezo huo.
New vision FC yajipanga.
Baada ya timu ya New vision FC kupoteza mchezo wao wa kwanza dhidi ya kahama Rangers FC timu hiyo imejipanga kuhakikisha itakwenda kupambana vikali katika mchezo wao wa pili.Hata hivyo kocha mkuu wa timu hiyo Clisher yoramu alimaarufu kwa jina la mzee wa arsenal alikisifu kikosi chake jinsi kilivyo cheza katika mechi yake ya kwanza na kusema kikosi chake anakiamini kipo vizuri hivyo kufungwa ni sehemu ya matokeo matatu katika mchezo wa mpira na kusisitiza kuendelea na mazoezi na kua na umoja
Picha ya juu ni kikosi cha New vision FC kilichokua kimeanza
Na picha hii ya chini ni baadhi ya wachezaji wa akiba wa New vision FC na picha ya mwisho kabisa ni baadhi ya wachezaji wakipewa mawili matatu na viongozi wa time.
Picha ya juu ni kikosi cha New vision FC kilichokua kimeanza
Na picha hii ya chini ni baadhi ya wachezaji wa akiba wa New vision FC na picha ya mwisho kabisa ni baadhi ya wachezaji wakipewa mawili matatu na viongozi wa time.
Thursday, 2 March 2017
TIRED COUNTRY
SIKU ZINAENDA ILA MAMBO HAYAENDE KWASABABU YA UGUMU WA MAISHA UNAWEZA KUONA WATANZANIA WANACHEKA LAKINI HAWANA AMANI NA FURAHA NA NCHI YAO, HAYA YANAONEKANA KWA MACHO NA MDA MWINGINE KWA VITENDO KABISA. JIFUNZENI KUSEMA KWELI NA SI KUOGOPA MAANA WANAO ONEWA NI TABAKA TAWALIWA NA ZAIDI WANAONEWA KWA VITISHO NA KUTISHIWA MAISHA ALI HALI TANZANIA YETU NI YA AMANI NA FURAHAA.
LAKINI YOTE HAYA YANAWEZA KUISHA KWA KUSHIKAMANA PAMOJA KATIKA HALI HII NGUMU YA MAISHA MAANA WATU WANAJIULIZA JE KWELI HII NI NCHI YA VIWANDA, PIA WATU WENGINE WANADAI PESA ZA VIJIJI ZIKO WAPI NA WADAU WENGINE WANAULIZA VIPI KUHUSU MISHAHARA NA MADENI YA WAFANYAKAZI.
PAMBANA HADI MWISHO TETEA NCHI YAKO.
LOVE DOES NOT ASK WHY
https://www.facebook.com/KIBEBRA/photos/a.354793364881196.1073741827.354787438215122/354793248214541/?type=3.
ukweli wa maisha siku zote huwa haupotei kama wewe ni mtu wa aina gani hujulikana tuuuuuu
new hit song
KIBEBRA FAMILY INAKUJA NA NYIMBO MPYA NA NI HIT SONG INAENDA KWA JINA LA #TIRED COUNTRY# IMEFANYWA NA K2S kijana wa UTAMU
Tuesday, 14 February 2017
BALOHA BET
BASHIRI MICHEZO IFUATAYO:
FOOTBALL FORM II VS FORM IV
NETBALL FORM II VS FORM III
VOLEBALL FORM II VS FORM I
BASHIRI USHINDEEE
Subscribe to:
Posts (Atom)