Licha ya sherehe hiyo kuwa nzuri na yenye mvuto wa aina yake bado kocha kuu ambaye kwa jina anaitwa CLISHER YORAM alisema TIMU hii ina vijana wadogo ambao wapo katika viwango safi kwani wana akademi iliojaa vipaji na wameanzisha akademi za watoto wa kike pia kama mnavyo waona katika picha zifuatazo;
Wadau na wafadhiri mbalimbali mnaombwa kuisaidia akademi hii ili kufikia malengo iliyo jiwekea ya kukuza vipaji vya watoto hao. Ni kauli ya kocha mkuu aliekaa na baadhi ya viongozi wapili kutoka kushoto katika picha hapo chini
Kwa kweli ni wazo kuanzisha akademi za vijana ili kufufua vipaji mbalimbali kwa mstakabali wa soka letu.Mimi kama mzalendo(mzawa)wa wilaya hiyo ninaupongeza mpango huo.vile vile nampongeza kocha mkuu wa kikosi hicho Mwl Yoram pamoja na walimu wengine.
ReplyDeleteKwa kweli ni wazo kuanzisha akademi za vijana ili kufufua vipaji mbalimbali kwa mstakabali wa soka letu.Mimi kama mzalendo(mzawa)wa wilaya hiyo ninaupongeza mpango huo.vile vile nampongeza kocha mkuu wa kikosi hicho Mwl Yoram pamoja na walimu wengine.
ReplyDelete