Saturday, 3 December 2016
Thursday, 1 December 2016
Wednesday, 30 November 2016
Tuesday, 29 November 2016
KIBEBRA: NEW SONG COMING SOON
KIBEBRA: NEW SONG COMING SOON: ni hit after hit kaa mkao wa kula new hit from K2S the hit maker of utamu ambayo ni miondoko ya HIP HOP Amekuja kivingine kwa kuonyesha kua ...
NEW SONG COMING SOON
Monday, 28 November 2016
FAMILIA
Ukiwa na kijana wako kama huyu jamaa nirahaa sana ,hata mtoto pia anafurahia maisha na baba yake.Heshima ya ndoa ni watoto
Lakini yote haya hayawezi kwenda bila ushirikiano wa mama pia, Mama ndio kila kitu katika malezi ya mtoto hivyo wote kwa pamoja wajukumu la kumfanya mtoto afurahi.
Pia katika maisha kuchili na wana huwa ni vizuri pia hasa linapokuja suala kubadilishana mawazo.
YOTE MAISHA TUMWOMBE MUNGU TU.
Sunday, 27 November 2016
NGOMA MPYA YA UTAMU YA MSANII WETU K2S IPO HEWANI.
Sikiliza ngoma ya utamu ya msanii wetu mpya wa miondoko ya hip-hop anaeitwa KINGSON SANGA lakini kwa jina la kisanii ni K2S nyimbo inaitwa UTAMU.
MUNGU ANAWEZAAA
TUKUTANE KARIAKOO.
Mikutano mingine aisee ni noooomaaa cheki umati wa watu hawaaaaaaaaa , duuuh kweli #tz tupo wengi sana.
Ama hakika watu tupo wengi sana maana hata sasa hivi maeneo hayatoshi inafikia watu wanavamia hata mbuga za wanyama ili wapate makazi ya kuishi .
Hata hivyo haitoshi bado mazingira ya kufanyia kazi kwa watu ni magumu ila naamini tutafika kwani hii ndio TANZANIA YETU.Kwa kiapo hiki kwa wafanya kazi wa UMMA hapo penyeweeee sasaaaa.
MWISHO NAITAKIA AMANI NA UPENDO TANZANIA YETU.
http://ichef.bbci.co.uk/onesport/cps/800/cpsprodpb/9E1B/production/_92657404_rooneygetty.jpg

Je atafanya nini leo huyu jamaa kwenye mechi yao dhidi ya west ham united
NEW VISION FC SHINYANGA KAHAMA MSALALA.
NEW VISION FC Ni klabu ya mpira wa miguu iliyopo mkoa wa SHINYANGA wilaya ya KAHAMA halmashauri ya MSALALA, Jana tarehe 26.11.2016 walikua wana adhimisha sherehe yao ya kufunga musimu. Sherehe hiyo ilijumuisha mambo mengi sana ikiwemo kukuza klabu na kuendeleza akademi za vijana wadogo kwa lengo la kukuza na kuendeleza soka la TAIFA letu .
Licha ya sherehe hiyo kuwa nzuri na yenye mvuto wa aina yake bado kocha kuu ambaye kwa jina anaitwa CLISHER YORAM alisema TIMU hii ina vijana wadogo ambao wapo katika viwango safi kwani wana akademi iliojaa vipaji na wameanzisha akademi za watoto wa kike pia kama mnavyo waona katika picha zifuatazo;
Wadau na wafadhiri mbalimbali mnaombwa kuisaidia akademi hii ili kufikia malengo iliyo jiwekea ya kukuza vipaji vya watoto hao. Ni kauli ya kocha mkuu aliekaa na baadhi ya viongozi wapili kutoka kushoto katika picha hapo chini
Thursday, 24 November 2016
SONG: UTAMU ARTIST:K2S
Nawaomba sana wapenda music muipe sapoti ngoma hiyoo kwa kuomba request play .Yatupasa kupeana sapoti ili kufanikisha katika kuzipa airtime ya kutosha ngoma za nyumbani.CHINI ni K2S akiwa na mtoto wake kipenzi anaitwa BRYAN a.k.a B Boy
Wednesday, 23 November 2016
ULIMWENGU WA SOCCER LEO NA UEFA
SHABIKI WA UKWELI SIMAMA IMARA LEO KUITETEA NA KUISHANGILIA TIMU YAKO KATIKA GAME ZA LEO ZA UEFA CHAMPIONS
http://www.uefa.com/uefaeuro/
Sunday, 20 November 2016
KIBEBRA
KIBEBRA.BLOGSPOT.COM ni blog inayojihusisha na masuala ya kisanaa na kijamii unaweza kututafuta kupitia mitandao ya kijamii kama vile Facebook ,Email,au kupitia blog yetu moja kwa moja contact us on facebook @kingson sanga and on our Email @kingsonsanga56@gmail.com
KIBEBRA: HIP HOP FOR LIFEOKOA HIPHOP #TZ#Kaa tayari kwa uj...
KIBEBRA: HIP HOP FOR LIFE OKOA HIPHOP #TZ
#Kaa tayari kwa uj...: HIP HOP FOR LIFE OKOA HIPHOP #TZ # Kaa tayari kwa ujio wa ngoma kali za kijanja..... www.kibebra.blogspot.com
#Kaa tayari kwa uj...: HIP HOP FOR LIFE OKOA HIPHOP #TZ # Kaa tayari kwa ujio wa ngoma kali za kijanja..... www.kibebra.blogspot.com
HIP HOP FOR LIFE
OKOA HIPHOP #TZ
#Kaa tayari kwa ujio wa ngoma kali za kijanja.....www.kibebra.blogspot.com
HIP HOP FOR LIFE
OKOA HIPHOP #TZ
#Kaa tayari kwa ujio wa ngoma kali za kijanja.....www.kibebra.blogspot.com
Friday, 18 November 2016
KIBEBRA
KIBEBRA:-Ni blog mpya tunawakaribisha wadau wa mambo mbalimbali kama michezo, muziki, stori za kujengana kimaisha ,habari mbalimbali,matukio na mengine kadha wa kadha KIKUBWA ni harakati OKOA HIP-HOP TZ.
Subscribe to:
Posts (Atom)