![]() |
Sunday, 26 November 2017
NGOMA MPYAA YA K2S ###### TIRED COUNTRY##### NOW IPO KWA HEWAA.
OK ni wakati wa shangwee za msimu wa kilimo lakini msanii wako K2S mzee wa UTAMU anakuja na hit song mpya inayo kwenda kwa jina la TIRED COUNTRY lakini ilikuwa imetangazwa kipindi flani mara ikawa kimya but now ipoooo kwa hewaaaaaa get that copy first ma men men .
MSIMU WA SHAMBA NDIO HUOOOO.
Kwa wale wakulima sasa kazi imeanzaa kwani mvua zimeanza kunyesha na hali ni nzuri kimsingi , tukazane kulima ili tujikwamue na hali ngumu ya kiuchumi maana vyuma vimeendelea kukazaa tuuu.
Subscribe to:
Posts (Atom)