Wadau wakiwa katika pilika pilika za hapa na pale za kufunga msimu wa timu yao ya NEW VISION FC, Ni asubuhi flani hivi katika viwanja vya shule ya msingi CHELA KAHAMA.
Maraa paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Saturday, 2 December 2017
##NEW VISION FC YAFANYA KIKAO CHAKE CHA MWAKA 02.12.2017.##
Ni mwaka mwingine tena timu ya NEW VISION FC inafanya kikao chake cha kufunga msimu wa mwaka wa 2017,Mambo mengi yamejadiliwa katika kikao hicho na kubwa zaizi ni kusisitiza juu ya wachezaji kuwa commiteement na timu yao lakini kubwa zaidi wamejadili mapungufu ya vifaaa vya michezo mfano wa vifaa hivyo ni sox, mipira ,wavu wa golini, na kutoa michango kwa wakati ili kuiendeleza timu katika leval za hali ya juu;
Hata hivyo capten alijaribu kuongelea mapungufu hayo kwa kutaja bei za kila kimojakimoja na kuuweka mjadala huu hewani kwa wadau waweze kujadili ni mapungufu yapi yanatakiwa kutatuliwa haraka vitu hivyo ni 1.BEGI,
2. DAWA ZA TIMU,
3.PUMPU NA
4. GLOVES ZA GOOLKEEPER.
BAADA ya majadiliano yaliochukua takribani nusu saa wadau waliomba kutoa mchango ili kuweza kuchangia vifaa hivyoo.
Wadau wakielekea kupata chakula baada ya kikao chao cha kufunga msimu wa timu yao ##NEW VISION FC FOREVER##

Subscribe to:
Posts (Atom)